> Utangulizi wa Vipengele Mahiri > Muhtasari Vipengele Mahiri > Usajili wa Ufunguo wa Leseni > Kusajili Ufunguo wa Leseni Ukitumia Web Config (Usajili Binafsi)

Kusajili Ufunguo wa Leseni Ukitumia Web Config (Usajili Binafsi)

Tumia Web Config unapotaka kusajili ufunguo wa leseni kwa kichapishi mwenyewe.

Kumbuka:

Unaweza pia kuweka mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Vipengele Mahiri

  1. Weka anwani ya IP ya kichapishi katika kivinjari ili kuendesha Web Config.

  2. Bofya Log in.

  3. Ingiza nenosiri la msimamizi kwenye Current password.

  4. Bofya OK.

  5. Teua kichupo cha Device Management > Advanced Features.

  6. Ingiza ufunguo wa leseni kwenye License Key kwa kipengele mahiri ambacho ungependa kutumia.

  7. Bofya Activation.

    Ujumbe wa “Reboot required” umeonyeshwa.

  8. Bofya Reboot.

  9. Wakati ujumbe wa ukamilisho wa kuwasha upya umeonyeshwa, bofya OK.

    Kichapishi kinazima na kuwashwa tena.

    Onyesha upya onyesho la Web Config baada ya kuwasha upya kichapishi. Ikiwa ujumbe "Activated" imeonyeshwa, kipengele mahiri kinapatikana.