> Kuchapisha > Kuchapisha Data kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu > Kuchapisha Faili za PDF kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Kuchapisha Faili za PDF kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Unaweza kuchapisha faili za PDF kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kilichounganishwa kwenye kichapishi.

Kumbuka:

Baadhi ya aina na saizi za karatasi haziwezi kutumika kuchapisha faili za PDF.

  1. Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuchomeka Kifaa cha Nje cha USB

  2. Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua PDF.

  4. Teua faili.

  5. Teua vipengee vya Mipangilio Msingi na Mahiri iiwezekanavyo.

  6. Donoa .