Unaposajili mpokeaji kwenye orodha ya waasiliani, unaweza pia kuongeza mpangilio wa laini.
Weka anwani ya IP ya kichapishi katika kivinjari ili kufikia Web Config.
Ingiza anwani ya IP ya kichapishi kutoka kwa kompyuta ambayo imeunganishwa kwenye mtandao sawa na wa kichapishi.
Unaweza kuangalia anwani ya IP ya kichapishi kutoka kwa menyu inayofuata.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > (Wastani) > Hali ya Mtandao > Hali ya LAN ya waya/Wi-Fi
Ingiza nenosiri la msimamizi ili kuingia kama msimamizi.
Teua kwenye orodha inayofuata.
Kichupo cha Scan/Copy au kichupo cha Fax > Contacts
Teua idadi unayotaka kusajili, na kisha ubofye Edit.
Ingiza Name na Index Word.
Teua Fax kama chaguo la Type.
Huwezi kubadilisha chaguo la Type baada ya kukamilisha usajili. Iwapo unataka kubadilisha aina, futa ufikio na usajili tena.
Chagua laini kwenye Select Line, kisha ubofye Apply.
Kumbuka kwamba Select Line imewekwa kuwa G3-Auto kama chaguo-msingi.