Usajili wa Waasiliani

Kusajili maeneo pokezi katika orodha ya waasiliani ya kichapishi hukuruhusu kuingiza eneo pokezi kwa urahisi unapotambaza au kutuma faksi.

Kumbuka:

Unaweza kusajili aina zifuatazo za maeneo pokezi katika rordha ya waasiliani. Unaweza kuhifadhi hadi jumla ya maingizo 2000.

Faksi

Eneo pokezi la faksi

Barua pepe

Eneo pokezi la barua pepe

Unahitaji kusanidi mipangilio ya seva ya barua pepe mapema.

Folda ya Mtandao

Eneo pokezi la data ya utambazaji na data ya usambazaji wa faksi

Folda/FTP ya Mtandao