Teua menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Kisimamia Waasiliani
Teua Ongeza/Hariri/Futa.
Chagua On'za I'zo, teua Ongeza Kikundi.
Teua aina ya ufikio kuwa chaguo la Aina.
Huwezi kubadilisha chaguo la Type baada ya kukamilisha usajili. Iwapo unataka kubadilisha aina, futa ufikio na usajili tena.
Teua idadi unayotaka kusajili kama Nambari ya Usajili.
Ingiza Jina la Kikundi (Linahitajika) na Neno la Kiolesura.
Teua Waasiliani Waliongezwa kw. Kikundi (Inahitajika), teua waasiliani unaotaka kuongeza, na kisha uteue Funga.
Teua Sawa ili kutekeleza mipangilio.