|
Itifaki |
Ufafanuzi |
|---|---|
|
Bonjour Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utatumia Bonjour. Bonjour hutumika kutafuta vifaa, chapisho na kadhalika. |
|
iBeacon Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha kuwasilisha iBeacon. Ikiwezeshwa, unaweza kutafuta kichapishi kutoka kwenye vifaa vinavyotumia iBeacon. Kipengee hiki hakionyeshwi kwa mitandao ya ziada. |
|
SLP Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza SLP kitendaji cha kuwasilisha. SLP inatumika katika utambazaji wa kusukumwa na utafutaji wa mtandao katika EpsonNet Config. |
|
WSD Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha kuwasilisha WSD. Ikiwezeshwa, unaweza kuongeza vifaa vya WSD, na kuchapisha kutoka kwenye kituo cha WSD. |
|
LLTD Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha kuwasilisha LLTD. Ikiwezeshwa, inaonyeshwa kwenye ramani ya mtandao wa Windows. |
|
LLMNR Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha kuwasilisha LLMNR. Ikiwezeshwa, unaweza kutumia jina la ubainifu bila NetBIOS hata ikiwa huwezi kutumia DNS. |
|
LPR Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji wa LPR au la. Ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka kwenye kituo cha LPR. |
|
RAW(Port9100) Settings |
Unaweza kubainisha ikiwa utaruhusu uchapishaji kutoka kwenye kituo cha RAW (Kituo cha 9100) au la. Ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka kwenye kituo cha RAW (Kituo cha 9100). |
|
RAW(Custom Port) Settings |
Unaweza kubainisha ikiwa utaruhusu uchapishaji kutoka kwenye kituo cha RAW (kituo maalum). Ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka kwenye kituo cha RAW (kituo maalum). |
|
IPP Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha kuwasilisha IPP. Ikiwezeshwa, utaweza kuchapisha kwenye Intaneti. Inaonyeshwa pia wakati wa kutafuta vifaa kwenye mtandao. |
|
FTP Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji wa FTP au la. Ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kupitia FTP server. |
|
SNMPv1/v2c Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu SNMPv1/v2c au la. Hii inatumika ili kusanidi vifaa, kufuatilia na mengineyo. |
|
SNMPv3 Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu SNMPv3 au la. Hii inatumika ili kusanidi vifaa vilivyosimbwa kwa njia fiche, kufuatilia n.k. |