Kusajili Waasiliani Wanaotumiwa Mara kwa mara kutoka kwa Paneli Dhibiti ya Kichapishi

  1. Donoa Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Donoa Kisimamia Waasiliani > Mara kwa mara.

  3. Teua aina ya, wasiliani unayetaka kusajili.

  4. Donoa Hariri.

  5. Teua waasiliani wanaotumiwa mara kwa mara ambao unataka kusajili, na kisha udonoe Sawa. Ili kukatisha uteuzi, idonoe tena.

  6. Donoa Funga.