Sajili VolP gateway unayotaka kutumia ili kutuma na kupokea faksi za IP.
Fikia Web Config, na kisha uteue kichupo cha Fax > IP-FAX Settings > VoIP Gateway Settings.
Bofya Registered VoIP Gateway > Edit.
Skrini inayoonyesha orodha za VoIP gatewau zilizosajiliwa inaonyeshwa.
Teua idadi unayotaka kusajili au kuhariri, na kisha ubofye Edit.
Teua kila kipengee.
Bofya OK.
Mipangilio inaakisiwa kwenye printa.