Kukagua Muunganisho wa Seva ya Barua pepe

  1. Teua menyu ya jaribio la muunganisho.

    • Unaposanidi kutoka Web Config:
      Teua kichupo cha Network > Email Server > Connection Test > Start.
    • Unaposanidi kutoka kwenye peneli dhibiti:
      Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > Seva ya Barua pepe > Ukaguzi wa Muunganisho.

    Jaribio la muunganisho kwenye seva ya barua limeanza.

  2. Angalia matokeo ya jaribio.