Vipengee vya Mpangilio wa Mafikio

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Mipangilio ya Kawaida

Name

Ingiza jina linaloonyeshwa kwenye waasiliani katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Index Word

Ingiza maneno ya kutafuita katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Type

Teua aina ya anwani unayotaka kusajili.

Assign to Frequent Use

Teua ili kuweka anwani iliyosajiliwa kama anwani inayotumiwa mara kwa mara.

Unapoweka kama anwani inayotumiwa mara kwa mara, inaonyeshwa upande wa juu wa skrini ya faksi na utambazaji, na unaweza kubainisha mafikio bila kuonyesha waasiliani.

Fax

Fax Number

Ingiza kati ya vibambo 1 hadi 64 kwa kutumia 0–9 - * # na nafasi.

Fax Speed

Teua kasi ya mawasiliano kwa mafikio.

Subaddress (SUB/SEP)

Weka anwani ndogo inayowekwa wakati faksi imetumwa. Ingiza ndani ya vibambo 20 au chache kwa kutumia 0–9, *, # au nafasi. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Password (SID/PWD)

Weka nywila kwa anwani ndogo. Ingiza ndani ya vibambo 20 au chache kwa kutumia 0–9, *, # au nafasi. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Email

Email Address

Ingiza vibambo kati ya 1 na 255 kwa kutumia A–Z a–z 0–9 ! # $ % & ' * + - . / = ? ^ _ { | } ~ @.

Network Folder (SMB)

Save to

\\“Njia ya kabrasha”

Ingiza eneo ambalo kabrasha lengwa linapatikana kati ya vibambo 1 na 253 kwenye Msimbosare (UTF-8), bila kujumuisha “\\”.

User Name

Ingiza jina la kufikia kabrasha la mtandao kati ya vibambo 30 au chache kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00 hadi 0x1F, 0x7F).

Password

Ingiza nywila ya kufikia kabrasha la mtandao kati ya vibambo 20 au chache kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00 hadi 0x1F, 0x7F).

FTP

Save to

Ingiza jina la seva kati ya vibambo 1 na 253 kwenye ASCII (0x20–0x7E), bila kujumuisha “ftp://”.

User Name

Ingiza jina la mtumiaji la kufikia seva ya FTP kati ya vibambo 30 au chache kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00 hadi 0x1F, 0x7F). Iwapo seva huruhusu miunganisho isiyojulikana, ingiza jina la mtumiaji kama vile Isiyojulikana na FTP. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Password

Ingiza nywila ya kufikia seva ya FTP kati ya vibambo 20 au chache kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00 hadi 0x1F, 0x7F). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Connection Mode

Teua modi ya muunganisho kutoka kwenye menyu. Iwapo ngome imewekwa kati ya kichapishi na seva ya FTP, teua Passive Mode.

Port Number

Ingiza nambari ya kituo cha seva ya FTP kati ya 1 na 65535.