> Maelezo ya Msimamizi > Mipangilio Mahiri ya Usalama > Kudhibiti Kutumia Itifaki

Kudhibiti Kutumia Itifaki

Unaweza kuchapisha kwa kutumia njia na itifaki mbalimbali.

Iwapo unatumia kichapishi cha vitendaji anuwai, unaweza kutumia utambazaji wa mtandao na PC-FAX kutoka kwenye idadi isiyobainishwa ya kompyuta za mtandao.

Unaweza kupunguza hatari za usalama zisizokusudiwa kwa kuzuia kuchapisha kutoka kwenye njia maalum au kwa kudhibiti vitendaji vinavyopatikana.