Vipengee vya Mpangilio wa Itifaki

Bonjour Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Use Bonjour

Teua hii ili kutafuta au kutumia vifaa kupitia Bonjour.

Bonjour Name

Huonyesha jina la Bonjour.

Bonjour Service Name

Huonyesha jina la huduma ya Bonjour.

Location

Huonyesha jina la eneo la Bonjour.

Top Priority Protocol

Teua itifaki ya kipaumbele cha juu kwa ajili ya uchapishi wa Bonjour.

SLP Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable SLP

Teua hii ili kuwezesha utendakazi wa SLP.

Hii inatumika kama vile utafutaji wa mtandao katika EpsonNet Config.

WSD Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable WSD

Teua hii ili kuwezesha kuongeza vifaa kwa kutumia WSD, na uchapishe na utambaze kutoka kwenye kituo cha WSD.

Printing Timeout (sec)

Ingiza thamani ya muda wa kukwisha wa mawasiliano kwa uchapishaji wa WSD kati ya sekunde 3 hadi 3600.

Scanning Timeout (sec)

Ingiza thamani ya muda wa kukwisha wa mawasiliano kwa utambazaji wa WSD kati ya sekunde 3 hadi 3600.

Device Name

Huonyesha jina la kifaa la WSD.

Location

Huonyesha jina la eneo la WSD.

LLTD Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable LLTD

Teua hili ili kuwezesha LLTD. Kichapishi kinaonyeshwa katika ramani ya mtandao ya Windows.

Device Name

Huonyesha jina la kifaa la LLTD.

LLMNR Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable LLMNR

Teua hili ili kuwezesha LLMNR. Unaweza kutumia jina la ubainifu bila NetBIOS hata ikiwa huwezi kutumia DNS.

LPR Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Allow LPR Port Printing

Teua ili kuruhusu uchapishaji kutoka kituo cha LPR.

Printing Timeout (sec)

Ingiza thamani ya muda wa kukwisha kwa jaili ya uchapishaji LPR kati ya sekunde 0 hadi 3600. Iwapo hutaki muda kukwisha, ingiza 0.

RAW(Port9100) Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Allow RAW(Port9100) Printing

Teua ili kuruhusu uchapishaji kutoka kwenye kituo cha RAW (Kituo cha 9100).

Printing Timeout (sec)

Ingiza thamani ya muda kukwisha kwa uchapishaji wa RAW (Kituo cha 9100) kati ya sekunde 0 hadi 3600. Iwapo hutaki muda kukwisha, ingiza 0.

IPP Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable IPP

Teua ili kuwezesha mawasiliano ya IPP. Vichapishi vinavyotumia IPP huonyeshwa.

Allow Non-secure Communication

Teua Allowed ili kuruhusu kichapishi kuwasiliana bila hatua zozote za usalama (IPP).

Communication Timeout (sec)

Ingiza thamani ya muda wa kukwisha kwa jaili ya uchapishaji IPP kati ya sekunde 0 hadi 3600.

Require PIN Code when using IPP printing

Teua iwapo utahitaji msimbo wa PIN unapotumia uchapishaji wa IPP au la. Iwapo utateua Yes, kazi za uchapishaji za IPP bila misimbo ya PIN hazijahifadhiwa kwenye kichapishi.

URL (Mtandao)

Huonyesha URL za IPP (http na https) wakati kichapishi kimeunganishwa kwenye mtandao. URL ni thamani jumuishwa ya anwani ya IP ya kichapishi, Nambari ya Kituo na jina la kichapishi la IPP.

URL (Wi-Fi Direct)

Huonyesha URL za IPP (http na https) wakti kichapishi kimeunganishwa na Wi-Fi Direct. URL ni thamani jumuishwa ya anwani ya IP ya kichapishi, Nambari ya Kituo na jina la kichapishi la IPP.

Printer Name

Huonyesha jina la kichapishi la IPP.

Location

Huonyesha eneo la IPP.

SNMPv1/v2c Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable SNMPv1/v2c

Teua ili kuwezesha SNMPv1/v2c.

Access Authority

Weka mamlaka ya ufikiaji wakati SNMPv1/v2c imewezeshwa. Teua Read Only au Read/Write.

Community Name (Read Only)

Ingiza vibambo 0 hadi 32 ASCII (0x20 hadi 0x7E).

Community Name (Read/Write)

Ingiza vibambo 0 hadi 32 ASCII (0x20 hadi 0x7E).

SNMPv3 Settings

Vipengele

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Enable SNMPv3

SNMPv3 huwezeshwa kisanduku kinapoteuliwa.

User Name

Ingiza vibambo kati ya 1 na 32 ukitumia vimbambo vya biti 1.

Authentication Settings

Algorithm

Weka mfumo wa hisabati wa uidhinishaji kwa ajili ya SNMPv3.

Password

Weka nenosiri la hisababi wa uidhinishaji kwa ajili ya SNMPv3.

Ingiza nenosiri lenye vibambo kati ya 8 na 32 katika ASCII (0x20 hadi 0x7E). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Confirm Password

Ingiza nenosiri ulilosanidi kwa ajili ya uthibitishaji.

Encryption Settings

Algorithm

Weka mfumo wa hisabati kwa usimbaji kwa njia fiche kwa ajili wa SNMPv3.

Password

Weka nenosiri la hisabati kwa usimbaji kwa ajili wa SNMPv3.

Ingiza nenosiri lenye vibambo kati ya 8 na 32 katika ASCII (0x20 hadi 0x7E). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Confirm Password

Ingiza nenosiri ulilosanidi kwa ajili ya uthibitishaji.

Context Name

Ingiza ndani ya vibambo 32 au chini katika Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi. Idadi ya vibambo vinavyoweza kuingizwa kutofautiana kulingana na lugha.