Vipengee vya Mpangilio wa Mtandao wa IEEE 802.1X

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

IEEE802.1X (Wired LAN)

Unaweza kuwezesha au kulemaza mipangilio ya ukurasa (IEEE802.1X > Basic) kwa IEEE802.1X (Wired LAN).

IEEE802.1X (Wi-Fi)

Hali ya muunganisho wa IEEE802.1X (Wi-Fi) huonyeshwa.

Connection Method

Mbinu ya muunganisho ya mtandao wa sasa huonyeshwa.

EAP Type

Teua chaguo la mbinu ya uidhinishaji kati ya kichapishi na seva ya RADIUS.

EAP-TLS

Unahitaji kupata na kuleta cheti kiichotiwa sahihi na CA.

PEAP-TLS

EAP-TTLS

Unahitaji kusanidi nenosiri.

PEAP/MSCHAPv2

User ID

Sanidi Kitambulisho cha kutumia katika uidhinishaji wa seva ya RADIUS.

Ingiza vibambo 1 hadi 128 biti 1 — ASCII (0x20 hadi 0x7E).

Password

Sanidi nenosiri ili kuhalalisha kichapishi.

Ingiza vibambo 1 hadi 128 biti 1 — ASCII (0x20 hadi 0x7E). Iwapo unatumia seva ya Windows kama seva ya RADIUS, unaweza kuingiza hadi vibambo 127.

Confirm Password

Ingiza nenosiri ulilosanidi kwa ajili ya uthibitishaji.

Server ID

Unaweza kusanidi Kitambulisho cha seva ili kuhalalisha kwa seva iliyobainishwa ya RADIUS. Mhalalishaji huthibitisha iwapo Kitambulisho cha seva kilicho katika sehemu ya Mada/madaAltName ya cheti cha seva ambacho hutumwa kutoka seva ya RADIUS au la.

Ingiza vibambo 0 hadi 128 biti 1 — ASCII (0x20 hadi 0x7E).

Certificate Validation

Unaweza kuweka uthibitishaji wa cheti licha ya mbinu ya uhalalishaji. Leta cheti kwenye CA Certificate.

Anonymous Name

Iwapo utateua PEAP-TLS, EAP-TTLS au PEAP/MSCHAPv2 kwa EAP Type, unaweza kusanidi jina lisilojulikana la Kitambulisho cha mtumiaji kwa awamu ya 1 ya uhalalishaji wa PEAP.

Ingiza vibambo 0 hadi 128 biti 1 — ASCII (0x20 hadi 0x7E).

Encryption Strength

Unaweza kuteua mojawapo ya yafuatayo.

High

AES256/3DES

Middle

AES256/3DES/AES128/RC4