Hutekeleza jaribio la muunganisho kwenye seva ya LDAP kwa kutumia parameta iliyowekwa kwenye LDAP Server > Search Settings.
Fikia Web Config na uteue kichupo cha Network > LDAP Server > Connection Test.
Teua Start.
Jaribio la muunganisho limeanzishwa. Baada ya jaribio, ripoti ya ukaguzi inaonyeshwa.