> Kuchapisha > Kuchapisha Picha > Kuchapisha Faili za TIFF kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Kuchapisha Faili za TIFF kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Unaweza kuchapisha faili za TIFF kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kilichounganishwa kwenye kichapishi.

  1. Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuchomeka Kifaa cha Nje cha USB

  2. Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua TIFF.

  4. Teua faili na kisha uendelee hadi skrini inayofuata.

  5. Donoa .