Mipangilio ya TIFF

Unaweza kuunda mipangilio ya chapisho kwa umbizo la faili za TIFF kwenye vifaa vyako vya kumbukumbu.

(Mpangilio wa Kuonyesha):

Hubadilisha mpangilio wa faili.

Mipangilio Msingi:
  • Mipangilio ya K'si

    Bainisha mipangilio ya chanzo cha karatasi ambacho unataka kuchapisha kwacho.

  • Hali ya Rangi

    Teua mpangilio wa rangi iwapo kwa kawaida unachapisha kwenye N. na N'pe au Rangi.

Mahiri:
  • Mpangilio

    Teua jinsi mpangilio wa faili ya Multi-TIFF. 1-juu ni ya kuchapisha ukurasa mmoja kwa kila laha iliyo na pambizo kwenye kingo zote. Isiyo na mipaka ni ya kuchapisha ukurasa mmoja kwa kila laha isiyo na pambizo kwenye kingo zote. Picha hupanuliwa kidogo ili kuondoa mipaka kwenye kingo za karatasi. 20-juu ni ya kuchapisha kurasa 20 kwa kila laha moja. Kiolezo ni ya kuunda uchapishaji wa kiolezzo kwa maelezo.

  • Tosheza Fremu

    Teua Washa ili kupuna picha ili kuteshea kwennye mpangilio wa picha kiotomatiki. Ikiwa mgao uwiano wa data ya picha na ukubwa wa karatasi ni tofauti, picha hupanuliwa au kupunguzwa kiotomatiki ili pande zile fupi zilingane na pande fupi za karatasi. Upande mrefu wa picha hukatwa ikiwa unazidi upande mrefu wa karatasi. Kipengele hiki huenda kisifanye kazi kwa picha za panorama.

  • Ubora

    Teua Bora kwa ubora wa juu wa uchapishaji, lakini kasi ya uchapishaji inaweza kupungua.

  • Agizo la Chapa

    Teua mpangilio ya uchapishaji wa kurasa anuwai wa faili TIFF.

  • Tarehe

    Teua umbizo la tarehe ambayo picha ilipigwa au kuhifadhiwa. Tarehe haichapishwi kwa baadhi ya mipangilio.