Mipangilio ya Seva na Makabrasha

Jina

Mipangilio

Eneo

Mahitaji

Tambaza kwenye Kabrasha la Mtandao (SMB)

Unda na usanidi kushiriki kwa kabrasha la kuhifadhi

Kompyuta ambayo ina eneo la kabrasha la kuhifadhi

Akaunti ya mtumiaji ya msimamizi kwenye kompyuta ambayo inaunda makabrasha ya kuhifadhi.

Mafikio ya Kutambaza kwenye Kabrasha la Mtandao (SMB)

Waasiliani wa kifaa

Jina la mtumiaji na nywila ya kuingia kwenye kompyuta ambayo ina kabrasha la kuhifadhi, na fursa ya kusasisha kabrasha la kuhifadhi.

Tambaza kwenye Kabrasha la Mtandao (FTP)

Usanidi wa kuingia kwenye seva ya FTP

Waasiliani wa kifaa

Maelezo ya kuingia kwa seva ya FTP na fursa ya kusasisha kabrasha la kuhifadhi.

Tambaza kwenye Barua pepe

Usanidi wa seva ya barua pepe

Kifaa

Maelezo ya usanidi wa seva ya barua pepe

Tambaza kwenye Wingu

Usajili wa kichapishi kwenye Epson Connect

Kifaa

Mazingira ya muunganisho wa mtandao

Usajili wa mwasiliani kwenye Epson Connect

Huduma ya Epson Connect

Usajili wa mtumiaji na kichapishi kwenye Epson Connect