> Maelezo ya Msimamizi > MMipangilio ya Kutumia Kichapishi > Kuweka Kabrasha Lililoshirikiwa La Mtandao

Kuweka Kabrasha Lililoshirikiwa La Mtandao

Weka kabrasha lililoshirikiwa la mtandao ili kuhifadhi taswira iliyotambazwa na matokeo ya utumaji faksi.

Unapohifadhi faili kwenye kabrasha, kichapishi kinaingia kama mtumiaji wa kompyuta ambapo kabrasha iliundwa.

Pia, hakikisha kwamba umeweka mipangilio ya Mtandao wa MS unapounda kabrasha liliyoshirikiwa ya mtandao.