Vipengee vya Mpangilio wa Utafutaji wa Seva ya LDAP

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Search Base (Distinguished Name)

Ukitaka kutafuta kikoa dhahania, bainisha jina la kikoa cha seva ya LDAP. Ingiza vibambo kati ya 0 na 128 katika Msimbosawa (UTF-8). Usipotafuta sifa dhahania, acha hii pengo.

Mfano wa sakara ya seva ya ndani: dc=server,dc=local

Number of search entries

Bainisha idadi ya maingizo ya utafutaji kati ya 5 na 500. Idadi iliyobainishwa ya maingizo ya utafutaji inahifadhiwa na kuonyeshwa kwa muda. Hata ikiwa idadi ya maingizo ya utafutaji ni zaidi ya idadi iliyobanishwa na ujumbe wa kosa kuonekana, utafutaji unaweza kukamilishwa.

User name Attribute

Bainisha jina la sifa ili kuonyesha wakati wa kutafuta majina ya mtumiaji. Ingiza vibambo kati ya 1 na 255 katika Msimbosawa (UTF-8). Kibambo cha kwanza kinapaswa kuwa a–z au A–Z.

Mfano: cn, uid

User name Display Attribute

Bainisha jina la sifa ili kuonyesha kama jina la mtumiaji. Ingiza vibambo kati ya 0 na 255 katika Msimbosawa (UTF-8). Kibambo cha kwanza kinapaswa kuwa a–z au A–Z.

Mfano: cn, sn

Fax Number Attribute

Bainisha jina la sifa ili kuonyesha wakati wa kutafuta nambari za faksi. Ingiza mchanganyiko wa vibambo kati ya 1 na 255 ukitumia A–Z, a–z, 0–9, na -. Kibambo cha kwanza kinapaswa kuwa a–z au A–Z.

Mfano: facsimileTelephoneNumber

Email Address Attribute

Bainisha jina la sifa ili kuonyesha wakati wa kutafuta anwani za barua pepe. Ingiza mchanganyiko wa vibambo kati ya 1 na 255 ukitumia A–Z, a–z, 0–9, na -. Kibambo cha kwanza kinapaswa kuwa a–z au A–Z.

Mfano: mail

Arbitrary Attribute 1 - Arbitrary Attribute 4

Unaweza kubainisha sifa nyingine dhahania za kutafuta. Ingiza vibambo kati ya 0 na 255 katika Msimbosawa (UTF-8). Kibambo cha kwanza kinapaswa kuwa a–z au A–Z. Iwapo hutaki kutafuta sifa dhahania, acha pengo hapa.

Mfano: o, ou