Kusanidi Mipangilio ya Seva ya LDAP

Unaposanidi mipangilio ya utafutaji, unaweza kutumia anwani ya barua pepe na nambari ya faksi iliyosajiliwa kwenye seva ya LDAP.

  1. Fikia Web Config na uteue kichupo Network > LDAP Server > Search Settings.

  2. Ingiza thamani kwa kila kipengee.

  3. Bofya OK ili kuonyesha matokeo ya mpangilio.

    Mipangilio uliyoteua inaonyeshwa.