> Kukarabati Kichapishi > Kuangalia Hali ya Vitumika

Kuangalia Hali ya Vitumika

Unaweza kuangalia takriban ya maisha ya huduma ya kikasha cha matengenezo katika paneli dhibiti, donoa Hali ya Kazi kwenye skrini ya nyumbani, na kisha uteue Hali ya Printa.

Unaweza kuangalia takriban ya viwango vya wino na maisha ya huduma ya kikasha cha matengenezo kwenye kompyuta. Tazama kiungo cha taarifa husiani hapa chini kwa maelezo zaidi.

Ili uhakikishe wino unaobakia, angalia viwango vya wino katika matangi yote ya printa.