Mipangilio ya JPEG

(Chaguo):

Weka mipangilio ya kuagiza, kuteua, na kuondoa tiki kwenye data ya taswira.

Mipangilio Msingi:
  • Mipangilio ya K'si

    Bainisha mipangilio ya chanzo cha karatasi ambacho unataka kuchapisha kwacho.

  • Hali ya Rangi

    Teua mpangilio wa rangi iwapo kwa kawaida unachapisha kwenye N. na N'pe au Rangi.

Mahiri:
  • Mpangilio

    Teua jinsi ya kupanga faili za JPEG. 1-juu ni ya kuchapisha faili kwa kila laha isiyo na pambizo kwenye kingo zote. Isiyo na mipaka ni ya kuchapisha faili moja kwa kila laha isiyo na pambizo kwenye kingo zote. Picha hupanuliwa kidogo ili kuondoa mipaka kwenye kingo za karatasi. 20-juu ni ya kuchapisha faili 20 kwa kila laha moja. Kiolezo ni ya kuunda uchapishaji wa kiolezzo kwa maelezo.

  • Tosheza Fremu

    Teua Washa ili kupuna picha ili kuteshea kwenye muundo wa chapisho ulioteuliwa kiotomatiki. Ikiwa mgao uwiano wa data ya picha na ukubwa wa karatasi ni tofauti, picha hupanuliwa au kupunguzwa kiotomatiki ili pande zile fupi zilingane na pande fupi za karatasi. Upande mrefu wa picha hukatwa ikiwa unazidi upande mrefu wa karatasi. Kipengele hiki huenda kisifanye kazi kwa picha za panorama.

  • Ubora

    Teua Bora kwa ubora wa juu wa uchapishaji, lakini kasi ya uchapishaji inaweza kupungua.

  • Tarehe

    Teua umbizo la tarehe ambayo picha ilipigwa au kuhifadhiwa. Tarehe haichapishwi kwa baadhi ya miundo.

  • Tatua Picha

    Teua modi hii ili kuboresha ung’avu, ulinganuzi, na ueneaji wa picha kiotomatiki. Zima uboreshaji otomatiki, teua Uboreshaji Umezimwa.

  • Tatua Jicho Nye'du

    Teua On ili kurekebisha athari ya jicho jekundu kwenye picha kiotomatiki. Marekebisho hayatekelezwi kwenye faili asili, kwenye machapisho tu. Kulingana na aina ya picha, sehemu za picha kando na macho zinaweza kurekebishwa.