Unaweza kuchapisha faili za JPEG kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kilichounganishwa kwenye kichapishi.
Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.
Teua JPEG.
Teua faili na kisha uendelee hadi skrini inayofuata.
Donoa
.