Vipengee vya Mpangilio vya Group Policy

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Enable this Group Policy

Unaweza kuwezesha au kulemaza sera ya kikundi.

Access Control

Sanidi mbinu ya udhibiti kwa trafiki ya pakiti za IP.

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Permit Access

Teua hii ili kuruhusu pakiti za IP zilizosanidiwa kupita.

Refuse Access

Teua hii ili kuzuia pakiti za IP zilizosanidiwa kupita.

IPsec

Teua hii ili kuruhusu pakiti za IPsec zilizosanidiwa kupita.

Local Address(Printer)

Teua anwani ya IPv4 au ya IPv6 inayolingana na mazingira yako ya mtandao. Iwapo anwani ya IP imekabidhiwa tofauti, unaweza kuteua Use auto-obtained IPv4 address.

Kumbuka:

Iwapo anwani ya IPv6 imekabidhiwa kiotomatiki, huenda muunganisho usipatikane. Sanidi anwani thabiti ya IPv6.

Remote Address(Host)

Ingiza anwani ya IP ya kifaa ili kudhibiti ufikiaji. Anwani ya IP lazima iwe na vibambo 43 au chache. Iwapo hutaingiza anwwani ya IP, anwani zote zinadhibitiwa.

Kumbuka:

Iwapo anwani ya IP imekabidhiwa kiotomatiki, (kwa mfano iliyokabidhiwa na DHCP), huenda muunganisho usipatikane. Sanidi anwani thabiti ya IP.

Method of Choosing Port

Teua mbinu ya kubainisha vituo.

  • Service Name

    Iwapo utateua Service Name kwa Method of Choosing Port, teua chaguo.

  • Transport Protocol

    Iwapo utateua Port Number kwa Method of Choosing Port, unahitaji kusanidi modi ya ujumuishaji.

    Vipengele

    Mipangilio na Ufafanuzi

    Any Protocol

    Teua hii ili kudhibiti aina zote za itifaki.

    TCP

    Teua hii ili kudhibiti data za tangazo moja.

    UDP

    Teua hii ili kudhibiti data za matangazo na matangazo anuwai.

    ICMPv4

    Teua hii ili kudhibiti amri ya dokezo.

  • Local Port

    Iwapo utateua Port Number kwa Method of Choosing Port na iwapo utateua TCP au UDP kwa Transport Protocol, ingiza nambari za kituo ili kudhibiti pakiti unazopokea, kwa kuzitenganishwa kwa koma. Unaweza kuingiza nambari za vituo 10 kwa kiwango cha juu.

    Mfano: 20,80,119,5220

    Iwapo hutaingiza nambari ya kituo, anwani zote zinadhibitiwa.

  • Remote Port

    Iwapo utateua Port Number kwa Method of Choosing Port na iwapo utateua TCP au UDP kwa Transport Protocol, ingiza nambari za kituo ili kudhibiti pakiti unazotuma, kwa kuzitenganishwa kwa koma. Unaweza kuingiza nambari za vituo 10 kwa kiwango cha juu.

    Mfano: 25,80,143,5220

    Iwapo hutaingiza nambari ya kituo, anwani zote zinadhibitiwa.

IKE Version

Teua IKEv1 au IKEv2 kwa IKE Version. Teua mojawapo kulingana na kifaa ambapo kichapishi kimeunganishwa.

  • IKEv1

    Vipengee viafuatavyo vinaonyeshwa unapoteua IKEv1 kwa IKE Version.

    Vipengele

    Mipangilio na Ufafanuzi

    Authentication Method

    Iwapo utateua IPsec kwa Access Control, teua chaguo. Cheti kilichotumika mi kawaida katika sera chaguomsingi.

    Pre-Shared Key

    Iwapo utateua Pre-Shared Key kwa Authentication Method, ingiza ufunguo ulioshirikiwa awali kati ya vibambo 1 na 127.

    Confirm Pre-Shared Key

    Ingiza ufunguo uliosanidi kwa ajili ya uthibitishaji.

  • IKEv2

    Vipengee viafuatavyo vinaonyeshwa unapoteua IKEv2 kwa IKE Version.

    Vipengele

    Mipangilio na Ufafanuzi

    Local

    Authentication Method

    Iwapo utateua IPsec kwa Access Control, teua chaguo. Cheti kilichotumika mi kawaida katika sera chaguomsingi.

    ID Type

    Iwapo utateua Pre-Shared Key kwa Authentication Method, teua aina ya Kitambulisho kwa ajili ya kichapishi.

    ID

    Ingiza Kitambulisho cha kichapishi kinacholingana na aina ya Kitambulisho.

    Huwezi kutumia “@”, “#”, na “=” kama kibambo cha kwanza.

    Distinguished Name: ingiza vibambo kati ya 1 hadi 255 biti 1 ASCII (0x20 hadi 0x7E). Unahitaji kujumuisha “=”.

    IP Address: ingiza umbizo la IPv4 au la IPv6.

    FQDN: ingiza ujumuishaji wa vibambo vya kati ya 1 na 255 ukitumia A–Z, a–z, 0–9, “-”, na kikomo (.).

    Email Address: ingiza vibambo kati ya 1 hadi 255 biti 1 ASCII (0x20 hadi 0x7E). Unahitaji kujumuisha “@”.

    Key ID: ingiza vibambo kati ya 1 hadi 255 biti 1 ASCII (0x20 hadi 0x7E).

    Pre-Shared Key

    Iwapo utateua Pre-Shared Key kwa Authentication Method, ingiza ufunguo ulioshirikiwa awali kati ya vibambo 1 na 127.

    Confirm Pre-Shared Key

    Ingiza ufunguo uliosanidi kwa ajili ya uthibitishaji.

    Remote

    Authentication Method

    Iwapo utateua IPsec kwa Access Control, teua chaguo. Cheti kilichotumika mi kawaida katika sera chaguomsingi.

    ID Type

    Iwapo utateua Pre-Shared Key kwa Authentication Method, teua aina ya Kitambulisho kwa ajili ya kifaa unachotaka kuhalalisha.

    ID

    Ingiza Kitambulisho cha kichapishi kinacholingana na aina ya Kitambulisho.

    Huwezi kutumia “@”, “#”, na “=” kama kibambo cha kwanza.

    Distinguished Name: ingiza vibambo kati ya 1 hadi 255 biti 1 ASCII (0x20 hadi 0x7E). Unahitaji kujumuisha “=”.

    IP Address: ingiza umbizo la IPv4 au la IPv6.

    FQDN: ingiza ujumuishaji wa vibambo vya kati ya 1 na 255 ukitumia A–Z, a–z, 0–9, “-”, na kikomo (.).

    Email Address: ingiza vibambo kati ya 1 hadi 255 biti 1 ASCII (0x20 hadi 0x7E). Unahitaji kujumuisha “@”.

    Key ID: ingiza vibambo kati ya 1 hadi 255 biti 1 ASCII (0x20 hadi 0x7E).

    Pre-Shared Key

    Iwapo utateua Pre-Shared Key kwa Authentication Method, ingiza ufunguo ulioshirikiwa awali kati ya vibambo 1 na 127.

    Confirm Pre-Shared Key

    Ingiza ufunguo uliosanidi kwa ajili ya uthibitishaji.

Encapsulation

Iwapo utateua IPsec kwa Access Control, unahitaji kusanidi modi ya ujumuishaji.

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Transport Mode

Iwapo unatumia kichapishi kwenye LAN sawa, teua hii. Pakiti za IP za kiwango cha 4 jipya husimbwa kwa njia fiche.

Tunnel Mode

Iwapo unatumia kichapishi kwenye mtandao unaotumia wavuti kama vile IPsec-VPN, teua chaguo hili. Kijajuu na data ya pakiti za IP husimbwa kwa njia fiche.

Remote Gateway(Tunnel Mode): iwapo utateua Tunnel Mode kwa Encapsulation, ingiza anwani ya njia ya vibambo vya kati ya 1 na 39.

Security Protocol

Iwapo utateua IPsec kwa Access Control, teua chaguo.

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

ESP

Teua ili kuhakikisha uadilifu wa uhalalishaji na data na usimbe data kwa njia fiche.

AH

Teua hii ili kuhakikisha uadilifu wa uhalalishaji na data. Hata ikiwa usimbaji wa data kwa njia fiche hauruhusiwi, unaweza kutumia IPsec.

Algorithm Settings

Inapendekezwa kwamba uteue Any kwa mipangilio yote au uteue kipengee tofauti na Any kwa kila mpangilio. Iwapo utateua Any kwa baadhi ya mipangilio na uteue kipengee tofauti na Any kwa mipangilio mingine, huenda kifaa kisiweze kuwasiliana kutegemea kifaa kingine unachotaka kuhalalisha.

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

IKE

Encryption

Teua mfumo wa hisabati wa usimbaji fiche kwa IKE.

Vipengee hutofautiana kulingana na toleo la IKE.

Authentication

Teua mfumo wa hisabati wa uhalalishaji kwa IKE.

Key Exchange

Teua mfumo wa hisabati wa ubadilishaji kwa IKE.

Vipengee hutofautiana kulingana na toleo la IKE.

ESP

Encryption

Teua mfumo wa hisabati wa usimbaji fiche kwa ESP.

Hii hupatikana wakati ESP imeteuliwa kwa Security Protocol.

Authentication

Teua mfumo wa hisabati wa uhalalishaji kwa ESP.

Hii hupatikana wakati ESP imeteuliwa kwa Security Protocol.

AH

Authentication

Teua mfumo wa hisabati wa usimbaji fiche kwa AH.

Hii hupatikana wakati AH imeteuliwa kwa Security Protocol.