Menyu:

Unaweza kupata kwenye paneli dhibiti ya kichapishi kwa kufikia menyu zifuatazo kwa utaratibu.

Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea > Mipangilio ya Hifadhi/Sambaza >

Kumbuka:

Huwezi kuchapisha orodha kutoka kwenye skrini ya Web Config.

Chapisha Orodha ya Masharti ya Hifadhi/Sambaza:

Huchapisha Or. Masharti ya H'dhi/Sambaza.