Mipangilio ya Faksi

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi

Kumbuka:
  • Pia unaweza kufikia Mipangilio ya Faksi kutoka Web Config. Bofya kichupo cha Fax kwenye skrini ya Web Config.

  • Unapotumia Web Config kuonyesha menyu ya Mipangilio ya Faksi, kunaweza kuwa na tofauti kidogo kwenye kiolesura cha mtumiaji na katika eneo linalofananishwa na paneli dhibiti ya kichapishi.