Sogora ya Mpangilio wa faksi

Unaweza kutafuta menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini:

Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Sogora ya Mpangilio wa faksi

Kumbuka:

Huwezi kuonyesha menyu kwenye skrini ya Web Config.

Kuteua Sogora ya Mpangilio wa faksi huunda mipangilio msingi ya faksi. Fuata maagizo ya kwenye skrini.