> Maelezo ya Msimamizi > MMipangilio ya Kutumia Kichapishi > Kufanya Waasiliani Kupatikana

Kufanya Waasiliani Kupatikana

Kusajili maeneo pokezi katika orodha ya waasiliani ya kichapishi hukuruhusu kuingiza eneo pokezi kwa urahisi unapotambaza.

Unaweza pia kutumia seva ya LDAP (utafutaji wa LDAP) ili kuingiza eneo pokezi.

Kumbuka:
  • Unaweza kubadili kati ya orodha yako ya waasiliani ya kichapishi na LDAP kwa kutumia paneli dhibiti ya kichapishi.

  • Unaweza kusajili aina zifuatazo za maeneo pokezi katika rordha ya waasiliani. Unaweza kuhifadhi hadi jumla ya maingizo 200.

Barua pepe

Eneo pokezi la barua pepe

Unahitaji kusanidi mipangilio ya seva ya barua pepe mapema.

Folda ya Mtandao

Eneo pokezi la data ya utambazaji

Folda/FTP ya Mtandao