Kusanidi Mipangilio ya Seva ya LDAP

Unaposanidi mipangilio ya utafutaji, unaweza kutumia anwani ya barua pepe iliyosajiliwa kwenye seva ya LDAP.

  1. Fikia Web Config na uteue kichupo Network > LDAP Server > Search Settings.

  2. Ingiza thamani kwa kila kipengee.

  3. Bofya OK ili kuonyesha matokeo ya mpangilio.

    Mipangilio uliyoteua inaonyeshwa.