Vipengee vya Mpangilio wa CSR

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Key Length

Teua urefu wa ufunguo kwa ajili ya CSR.

Common Name

Unaweza kuingiza vibambo kati ya 1 NA 128. Iwapo hii ni anwani ya IP, inapaswa kuwa anwani thabiti ya IP. Unaweza kuingiza anwani 1 hadi 5 za IPv4, anwani za IPv6, majina ya mpangishaji, FQDNs kwa kuvitenganishwa kwa koma.

Kipengele cha kwanza kinahifadhiwa kwenye jina la kawaida na vingine vinahifadhiwa kwenye sehemu mbadala kwa mada ya cheti.

Mfano:

Anwani ya IP ya Kichapishi: 192.0.2.123, Jina la kichapishi: EPSONA1B2C3

Common Name: EPSONA1B2C3,EPSONA1B2C3.local,192.0.2.123

Organization/ Organizational Unit/ Locality/ State/Province

Unaweza kuingiza nenosiri lenye vibambo kati ya 0 na 64 katika ASCII (0x20 hadi 0x7E). Unaweza kugawa majina teule kwa koma.

Country

Ingiza msimbo wa nchi katika nambari ya herufu mbili iliyobaninishwa na ISO-3166.

Sender's Email Address

Unaweza kuingiza anwani ya barua pepe ya mtumaji kwa mpangilio ya seva ya barua. Ingiza anwani sawa ya barua pepe kama Sender's Email Address kwa ajili ya kichupo cha Network > Email Server > Basic.