Hakikisha kwamba kompyuta na kichapishi vimeunganishwa ipasavyo.
Sababu na suluhu la tatizo hutofautiana kwa kutegemea iwapo vimeunganishwa au la.
Kuangalia Hali Ya Muunganisho
Kichapishi Hakiwezi Kuunganishwa kupitia USB (Mac OS)