Unaweza kunakili nakala asili anuwai kwenye laha moja la karatasi.

Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Weka idadi ya nakala.
Teua nakala ya rangi au nakala ya rangi moja.
Bonyeza kitufe cha OK, na kisha ubonyese kitufe cha
.
Teua Kurasa Nyingi ukitumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha
.
Teua 2-juu.
Bainisha mpangilio na mwelekeo wa nakala asili, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Weka ukurasa wa kwanza wa nakala asili, na kisha ubonyeze kitufe cha
.


Weka ukurasa wa pili wa nakala asili, na kisha ubonyeze kitufe cha
.