Weka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji, na kisha uteue menyu ya Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Kunakili Nakala Asili
Kunakili kwenye Pande 2
Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza
Kunakili Nakala asili Anuwai kwenye Laha Moja
Kunakili kadi ya Kitambulisho
Kunakili Bila Pambizo