Nakili nakala nyingi asili kwenye pande zote mbili za karatasi.

Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Weka idadi ya nakala.
Teua nakala ya rangi au nakala ya rangi moja.
Bonyeza kitufe cha OK, na kisha ubonyese kitufe cha
.
Teua Pande 2 ukitumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha
.
Teua1>Pande 2.
Bainisha mwelekeo wa nakala asili na eneo la kuunganisha, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Bonyeza kitufe cha
.