> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Windows > Kuchapisha Picha Moja kwenye Karatasi Anuwai kwa Kiuongeza Ukub wa (Kuunda Bango)

Kuchapisha Picha Moja kwenye Karatasi Anuwai kwa Kiuongeza Ukub wa (Kuunda Bango)

Kipengele hiki hukuruhusu kuchapisha picha moja kwenye karatasi mbalimbali. Unaweza kuunda bango kubwa kwa kuziunganisha pamoja.

  1. Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi cha Kuu, teua Bango la 2x1, Bango la 2x2, Bango la 3x3, au Bango la 4x4 kama mpangilio wa Kurasa Nyingi.

  2. Bofya Mipangilio, weka mipangilio inayofaa, na kisha ubofye SAWA.

    Kumbuka:

    Chapisha Miongozo ya Kukata hukuruhusu kuchapisha mwongozo wa kukata.

  3. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

  4. Bofya Chapisha.