Kutuma kiotomatiki
Unapochanganua nakala asili kwa kubonyeza kitufe cha
ili kuteua Tuma Faksi, kichapishi hupigia mpokeaji na hutuma faksi.
Kutuma kikuli
Unapotekeleza ukaguzi wa kikuli kwenye muunganisho wa laini kwa kupigia mpokeaji, bonyeza kitufe cha
kuteua Tuma Faksi ili kuanza kutuma faksi moja kwa moja.
Unaweza kuingiza wapokeaji kwa kutumia vitufe vya baobonye, Waasiliani, na Hivi karibuni.
Unaweza kuteua vipengee kama vile Mwonekano au Ukubwa Asili (Glasi) unapotuma faksi.
Unaweza kutumia Mipan. Kutuma Faksi kama vile Tuma Moja kwa Moja (ili kutuma waraka mkubwa bila ukatizaji) au Tuma Faksi Baadaye (ili kutuma faksi kwa wakati uliobainisha).