Unaweza kusanidi vipengele vya faksi ya kichapishi kibinafsi kwa kutumia paneli dhibiti ya kichapishi kulingana na matumizi. Mipangilio ilisanidiwa kwa kutumia Kis. Mpang. Faksi pia inaweza kubadilishwa. Kwa maelezo zaidi, tazama ufafanuzi wa menyu ya Mipangilio ya Faksi.