Suluhisho
Iwapo kiendeshi halali cha kichapishi cha Epson cha (EPSON XXXXX) hakijasakinishwa, utendaji unaopatikana una kipimo. Tunapendekeza kutumia kiendeshi cha kichapishi cha Epson halali.
Suluhisho
Ikiwa unachapisha picha yenye data kubwa, huenda komyuta ikakosa nafasi ya kutosha kwenye kumbukumbu. Chapisha picha kwa msongo wa chini au ukubwa mdogo.
Ikiwa umejaribu suluhu zote na hujafakiniwa kutatua tatizo, jaribu kuondoa kisha kusakinisha tena kiendesha kichapishi
Suluhisho
Hakikisha hali ya kichapishi Haijasitishwa.
Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi) kisha ubofye mara mbili kwenye kichapishi. Ikiwa kichapishi kilisitishwa, bofya Anza.