Kuchapisha Picha Zilizoteuliwa

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kuweka Karatasi

  2. Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuchomeka na Kuondoa Kadi ya Kumbukumbu

    Kuchomeka na Kuondoa Kifaa cha Nje cha USB

    Ikiwa Modi ya Uteuzi Otomatiki katika Vitendaji vya Mwongozo imefunguliwa, ujumbe unaonyeshwa. Angalia ujumbe na uchague kwa kielezo cha kitendaji.

  3. Teua Chapisha Picha kwenye paneli dhibiti.

  4. Teua Chapisha.

  5. Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua Sawa.

  6. Teua picha unayotaka kuchapisha kutoka kwenye skrini inayoonyesha mwonekano wa kijipicha.

    Picha iliyoteuliwa ina alama na idadi ya vichapisho (awali 1) kwayo.

    Kumbuka:
  7. Teua Mwonekano Mmoja, kisha uteue ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.

    Chaguo za Menyu za Kuhariri Picha

  8. Teua Ifuatayo na uweke mipangilio kwenye kichupo cha Mipangilio Msingi kisha uweke iadai ya nakala.

    Chaguo za Menyu ya Mipangilio ya Karatasi na Chapisho

  9. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri kisha ubadilishe mipangilio inavyohitajika.

  10. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha udonoe .

  11. Thibitisha kuwa uchapishaji umekamilika, na kisha uteue Funga.

    Iwapo utagundua matatizo ya ubora wa chapisho kama vile kukusanyika pamoja, rangi zisizotarajiwa, au taswira zisizoonekana vizuri, teuaa Utatuzi ili kuona suluhisho.