Unaweza kuchapisha data kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kama vile kadi ya kumbukumbu au kifaa cha USB cha nje.
Ufafanuzi wa Kifaa cha Kumbukumbu
Kuchapisha Picha Zilizoteuliwa
Mwongozo wa Kuteua Skrini ya Picha (Mwonekano wa Vigae)
Mwongozo wa Kuteua Skrini ya Picha (Mwonekano Mmoja)
Kuchapisha Mkusanyiko wa Picha na Ruwaza za Mandharinyuma
Kuchapisha Picha ya Ukubwa wa Kitambulisho
Kuchapisha Picha zilizo na Madokezo Yaliyoandikwa kwa mkono
Chaguo za Menyu ya Kuchapisha kutoka kwa Paneli Dhibiti