Nakili nakala nyingi asili kwenye pande zote mbili za karatasi.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye paneli dhibiti.
Teua
(Pande 2) kwenye kichupo cha Nakili.
Teua 1>Pande 2.
Bainisha Mwelekeo Asili na Pambizo la Uunganishaji kisha uteue Sawa.
Unaweza kuangalia taswira iliyokamilika katika sehemu ya kulia ya skrini.

Donoa
.
Iwapo utateua Hakiki, unaweza kuangalia taswira zilizotambazwa.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.