Hunakili hati halisi zenye pande mbili kwenye karatasi moja yenye mpangilio wa 2-up.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye paneli dhibiti.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uteue Kurasa Nyingi.
Teua 2-juu.
Bainisha Mwelekeo Asili na Ukubwa Asili kisha uteue Sawa.
Unaweza kuangalia taswira iliyokamilika katika sehemu ya kulia ya skrini.

Chagua kichupio cha Nakili.
Donoa
.
Iwapo utateua Hakiki, unaweza kuangalia taswira zilizotambazwa.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.