> Kunakili > Kunakili Nakala Asili > Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza

Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza

Unaweza kunakili nakala asili kwa upanuzi uliobainishwa.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kuweka Karatasi

  2. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  3. Teua Nakili kwenye paneli dhibiti.

  4. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uteue Kuza.

  5. Bainisha ukubwa ili kulingana na ukubwa wa nakala asili na ukubwa wa karatasi ulioweka, kisha uteue Sawa.

    Iwapo umeteua Tosheza Ukrs Oto, hugundua sehemu ya kutambaza kiotomatiki na kupanua au kupunguza nakala asili kulingana na ukubwa wa karatasi uliyoteua.

  6. Chagua kichupio cha Nakili.

  7. Donoa .

    Kumbuka:
    • Iwapo utateua Hakiki, unaweza kuangalia taswira zilizotambazwa.

    • Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.