Sehemu hii hutambulisha huduma za mtandao na bidhaa za programu zinazopatikana kwa kichapishi chako kutoka kwenye tovuti ya Epson au diski ya programu iliyotolewa.
Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Windows)
Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS)
Programu-tumizi ya Kuchapisha Kurasa za Wavuti (E-Web Print)
Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi Kutoka katika Kifaa Maizi (Epson iPrint)
Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi kutoka katika Programu ya Android (Epson Print Enabler)