E-Web Print ni programu unayokuruhusu kuchapisha kurasa za wavuti zilizo na mipangilio mbalimbali kwa urahisi. Angalia msaada wa programu kwa maelezo. Unaweza kufikia msaada kutoka menyu ya E-Web Print kwenye mwambaa-zana wa E-Web Print.
Programu endeshi za Windows Server hazikubaliwi.
Mac OS haiauniwi.
Angalia vivinjari vinavyoauniwa na toleo la sasa kutoka tovuti ya upakuaji.
Unaposakinisha E-Web Print, inaonekana kwenye kivinjari chako. Bofya Print au Clip.