Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.
Pakia karatasi katika kichapishi.
Ikiwa Epson iPrint haijasakinishwa, isakinishe.
Unganisha kifaa chako maizi kupitia kipanga njia pasiwaya.
Anzisha Epson iPrint.
Donoa Document kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa mahali pa waraka unapiotaka kuchapisha.
Teua waraka kisha udonoe Next.
Donoa Print.