> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha Nyaraka kutoka Vifaa Maizi (Android)

Kuchapisha Nyaraka kutoka Vifaa Maizi (Android)

Wakati kipanga njia pasiwaya kimeunganishwa kwenye mtandao sawa na kichapishi, unaweza kuchapisha nyaraka kutoka vifaa maizi kama vile simu mahiri au kompyuta kibao.