Unaweza kukagua maelezo ya kina ya mtandao kwa kuyachapisha.
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Hali ya Mtandao.
Teua Chapisha Karatasi ya Hali.
Angalia ujumbe, na kisha uchapishe karatasi ya hali ya mtandao.