Epson

    WF-C21000 Series / WF-C20750 Series / WF-C20600 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    Vidokezo vya Utafutaji

    • Kuchapisha
    • Kunakili
    • Utambazaji
    • Kutuma Faksi (Vichapishi vinavyotuma Faksi Pekee)
    • Kukarabati Kichapishi

    Vidokezo kuhusu Matumizi

    • Kuchapisha Kijitabu

    • Kuchapisha Faili Zilizolindwa kwa Nenosiri

    • Kuchapisha Misimbo ya Mwambaa Wazi

    • Kutumia Hifadhi

    • Kunakili Faili na Kuunda Vijitabu Kwa Kutumia Utarazaji Mshono au Ukunjaji

    • KKutenga Kazi

    Miongozo ya Maagizo ya Laha Moja

    • Kuchapisha Nyaraka
    • Kuchapisha kwenye Bahasha
    • Kuchapisha Picha
    • Kuchapisha Kuarasa za Tovuti
    • Kuchapisha kwa kutumia Huduma ya Wingu
    • Mbinu Zinazopatikana za Kunakili
    • Chaguo Msingi za Menyu kwa Kunakjili
    • Chaguo Mahiri za Menyu kwa Kunakili
    • Mbinu Zinazopatikana za Utambazaji
    • Kutambaza Nakala Asili hadi kwenye Kabrasha ya Mtandao
    • Kutambaza Nakala Asili kwenye Barua pepe
    • Kutambaza Nakala Asili kwenye Kompyuta
    • Kutambaza Nakala Asili kwenye Kifaa cha Kumbukumbu
    • Kutambaza Nakala Asili kwenye Wingu
    • Kutambaza Nakala Asili kwenye Hifadhi
    • Kutambaza kwa Kutumia WSD
    • Kutambaza Nakala Asili kwenye Kifaa Maizi
    • Kabla ya Kutumia Vipengele vya Faksi
    • MuhtasarMuhtasari wa Vipengele vya Faksi vya Kichapishi hiki
    • Kutuma Faksi kwa Kutumia Kichapishi
    • Kupokea Faksi kwenye Kichapishi
    • Chaguo za Menyu za Kutuma Faksi
    • Chaguo za Menyu kwa Kasha la Faksi
    • Kuangalia Hali au Kumbukumbu za Kazi za Faksi
    • Kutuma Faksi Kutoka kwa Kompyuta
    • Kupokea Faksi kwenye Kompyuta
    • Kuangalia Hali Ya Vitumika
    • Kuboresha Ubora wa Uchapishaji, Kunakili, Kutambaza, na Faksi
    • Kuhifadhi Nishati
    • Kusakinisha au Kuondoa Programu Kando
    • Kubadilisha Rola za Ukarabati

    Kutatua Matatizo

    • Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa

      Ikiwa kichapishi chako hakifanyi kazi ulivyotarajia, kama vile wakati kichapishi hakiwaki au huwezi kunakili, kuchapisha au kutambaza.

    • Ujumbe unaonyeshwa kwenye Skrini ya LCD

    • Karatasi Zinakwama

    • Ni Wakati wa Kubadilisha Kibweta cha Wino

    • Ni wakati wa Kubadilisha Kikasha cha Matengenezo

    • Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni Duni

    • Huwezi Kutatua Tatizo Baada ya Kujaribu Suluhu Zote

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2023-2025 Seiko Epson Corp. NPD6347-21 SW