> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili Misimbo ya Mwambaa Vizuri

Kunakili Misimbo ya Mwambaa Vizuri

Unaweza kunakili msimbo wa mwambaa vizuri zaidi na kuurahisisha kutambazwa. Wezesha tu kipengele hiki iwapo msimbo wa mwamba uliouchapisha hauwezi kutambazwa.

Unaweza kutumia kipengele hiki na aina za karatasi zifuatazo.

  • Karatasi tupu

  • Karatasi iliyochapishwa mapema

  • Kichwa cha barua

  • Karatasi ya rangi

  • Karatasi iliyofanywa upya

  • Karatasi nene

  • Bahasha

  • Epson Bright White Ink Jet Paper

  • Epson Business Paper

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue Aina Asili > Msimbo wa upau.

  4. Donoa .